Glassdoor logo.png | |
Aina ya shirika | Private |
---|---|
Tarehe ya kwanza | June 2007 |
Mwanzilishi | Robert Hohman, Rich Barton, Tim Besse |
Pahali pa makao makuu | Mill Valley, California, U.S. |
Sekta ya viwanda | Internet |
Huduma | Online employment |
Wafanyakazi | 800 |
Tovuti | glassdoor.com |
Daraja la Alexa | Kigezo:DecreasePositive 397 (October 2017[update])[1] |
Aina ya tovuti | Job search engine, Review Site |
Kusajili | Optional |
Lugha | Multilingual |
Hali ya sasa | Active |
Glassdoor ni tovuti ambayo wafanyakazi au waliokuwa wafanyakazi wa kampuni wanatoa kwa siri maoni yao kuhusu kampuni hiyo.[2]
Mnamo Mei 2018, Recruit Holdings, kampuni ya Kijapani ambayo pia inamiliki tovuti ya matangazo ya kazi ya Indeed ilitangaza nia yake ya kuinunua kampuni ya Glassdoor kwa dola za Kimarekani bilioni 1.2.[3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)