Kicaac

Kicaac ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Wacaac. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kicaac imehesabiwa kuwa watu 1170. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicaac iko katika kundi la Kioseaniki.


Developed by StudentB