Kiirarutu

Kiirarutu (pia Kikasira) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wairarutu kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiirarutu imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiirarutu iko katika kundi la Kihalmahera-Kusini.


Developed by StudentB