Kioblo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun iliyozungumzwa na Waoblo. Hakuna uhakika kama bado kuna wasemaji wa Kioblo. Kwa hiyo labda lugha imeshatoweka tayari. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioblo iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.