Kisholaga

Kisholaga ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Washolaga. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisholaga imehesabiwa kuwa watu 24,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisholaga iko katika kundi la Kitamil.


Developed by StudentB