Kitiwa

Kitiwa (au Kilalung) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Watiwa. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitiwa imehesabiwa kuwa watu 27,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitiwa iko katika kundi la Kisal.


Developed by StudentB