Secrets | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha ya albamu ya Secrets
|
|||||
Studio album ya Toni Braxton | |||||
Imetolewa | 18 Juni 1996 | ||||
Imerekodiwa | Oktoba 1995 - Aprili 1996 | ||||
Aina | R&B, soul, pop | ||||
Urefu | 54:53 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | LaFace | ||||
Mtayarishaji | Babyface (also exec.), Antonio "L.A." Reid (also exec.), R. Kelly, David Foster, Tony Rich, Soulshock & Karlin, Keith Crouch | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Toni Braxton | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Secrets | |||||
|
Secrets ni albamu ya pili ya mwanamuziki Toni Braxton, iliyotolewa nchini Marekani mnamo 18 Juni 1996. Baada ya kushinda tuzo tele kutoka kwa albamu yake ya awali, ikiwemo tuzo ya Grammy Award for Best New Artist; na kuuza nakala milioni nane, kulikuwa na matumaini mengi kwa albamu hii ya pili. Albamu hii iiuza nakala milioni nane nchini Marekani na zaidi ya nakala milioni tano kote duniani.