| |||||
Kaulimbiu ya taifa: لا إله إلا الله، محمد رسول الله (Shahada) Lā ilāhā illā-llāhu; muhammadun rasūlu-llāhi ("Hakuna mungu ila Allah; Muhammad ni mtume wa Allah") | |||||
Wimbo wa taifa: Dā Də Bātorāno Kor | |||||
Mji mkuu | Kabul | ||||
Mji mkubwa nchini | Kabul | ||||
Lugha rasmi | Kipashto, Kifarsi | ||||
Serikali | Utheokrasi wa kidikteta chini ya emirati ya Kiislamu Hibatullah Akhundzada Hasan Akhund | ||||
Uhuru Tarehe |
Kutoka Uingereza 19 Agosti 1919 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
652,864 km² (41) N/A | ||||
Idadi ya watu - 2015 kadirio - 1979 sensa - Msongamano wa watu |
32,564,342 (40th) 13,051,358 43.5/km² (150th) | ||||
Fedha | Afghani (Af) (AFN )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+4:30) (UTC+4:30) | ||||
Intaneti TLD | .af | ||||
Kodi ya simu | +93
- |
Afghanistan (jina rasmi: Emirati ya Kiislamu ya Afghanistan) ni nchi ya bara la Asia. Inapakana na nchi za Pakistan, Uajemi, Turkmenistan, Usbekistan, Tajikistan na China.
Ni nchi ya milima mirefu mingi inayofunika 3/4 za uso wake. Kutokana na tabia ya nchi wakazi wengi huishi katika jumuiya za kikabila.