Jamhuri ya Afrika Kusini | |||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Majina mengine kumi rasmi[1]
| |||||||||||||||||||||
Kaulimbiu ya taifa: "ǃke e: ǀxarra ǁke" (Kixam) "Watu anuwai huungana" | |||||||||||||||||||||
Wimbo wa taifa: "Wimbo wa taifa wa Afrika Kusini" | |||||||||||||||||||||
Mahali pa Afrika Kusini | |||||||||||||||||||||
Ramani ya kijiografia ya Afrika Kusini | |||||||||||||||||||||
Miji mikuu | Pretoria (serikali) Cape Town (bunge) Bloemfontein (mahakama) | ||||||||||||||||||||
Mji mkubwa nchini | Johannesburg | ||||||||||||||||||||
Lugha rasmi | Lugha 12 rasmi
| ||||||||||||||||||||
Makabila (asilimia) | 81.4 Weusi 8.2 Machotara 7.3 Wazungu 2.7 Waasia | ||||||||||||||||||||
Serikali | Jamhuri | ||||||||||||||||||||
• Rais • Makumu wa Rais • Mwenyekiti • Spika • Jaji Mkuu | Cyril Ramaphosa Paul Mashatile Amos Masondo Mapisa-Nqakula Raymond Zondo | ||||||||||||||||||||
Uhuru kutoka Uingereza Mwisho wa Apartheid | 31 Mei 1961 4 Februari 1997 | ||||||||||||||||||||
Eneo | |||||||||||||||||||||
• Eneo la jumla | km2 1 221 037 | ||||||||||||||||||||
• Maji (asilimia) | 0.380 | ||||||||||||||||||||
Idadi ya watu | |||||||||||||||||||||
• Sensa ya 2022 | 62 027 503 | ||||||||||||||||||||
Pato la taifa | Kadirio la 2023 | ||||||||||||||||||||
• Jumla | USD trilioni 1.038 | ||||||||||||||||||||
• Kwa kila mtu | USD 16 625 | ||||||||||||||||||||
Pato halisi la taifa | Kadirio la 2023 | ||||||||||||||||||||
• Jumla | USD bilioni 401.466 | ||||||||||||||||||||
• Kwa kila mtu | USD 6 426 | ||||||||||||||||||||
Maendeleo (2022) | 0.717 - juu | ||||||||||||||||||||
Sarafu | Randi ya Afrika Kusini | ||||||||||||||||||||
Majira ya saa | UTC+2 (Afrika Kusini) | ||||||||||||||||||||
Muundo wa tarehe | mwaka/mwezi/siku | ||||||||||||||||||||
Upande wa magari | Kushoto | ||||||||||||||||||||
Msimbo wa simu | +27 | ||||||||||||||||||||
Msimbo wa ISO 3166 | ZA | ||||||||||||||||||||
Jina la kikoa | .za |
Afrika Kusini ni nchi kubwa ya Afrika ya Kusini yenye wakazi takriban milioni 54.
Imepakana na Namibia, Botswana, Zimbabwe, Msumbiji na Uswazi. Nchi nzima ya Lesotho iko ndani ya eneo la Afrika Kusini.
Mji mkubwa ni Johannesburg. Majukumu ya mji mkuu yamegawiwa kati ya miji mitatu: Cape Town ni makao ya Bunge, Pretoria ni makao ya Serikali na Bloemfontein ni makao ya Mahakama Kuu.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)