| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Feja e Shqiptarit eshte Shqiptaria (Kialbania: "Imani wa Walbania ni Ualbania") | |||||
Wimbo wa taifa: Hymni i Flamurit ("Wimbo kwa bendera") | |||||
Mji mkuu | Tirana | ||||
Mji mkubwa nchini | Tirana | ||||
Lugha rasmi | Kialbania | ||||
Serikali | demokrasia Ilir Meta Edi Rama | ||||
Uhuru Tarehe |
28 Novemba 1912 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
28 748 km² (ya 139) 4.7% | ||||
Idadi ya watu - 2017 kadirio - Msongamano wa watu |
2,876,591 (ya 137) 98/km²/km² (63) | ||||
Fedha | Lek (ALL )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .al | ||||
Kodi ya simu | +355
- |
Jamhuri ya Albania ni nchi ya Ulaya Kusini Mashariki. Imepakana na Montenegro, Kosovo, Masedonia Kaskazini na Ugiriki. Upande wa magharibi kuna pwani ya ghuba ya Adria ya bahari ya Mediteranea.
Albania ni kati ya nchi zinazoendelea na imeomba kujiunga na Umoja wa Ulaya.