Herufi za Kiarabu zinazounda neno "Allah": 1. alif 2. hamzat waṣl (همزة وصل) 3. lām 4. lām 5. shadda (شدة) 6. dagger alif (ألف خنجرية) 7. hāʾ
Allah ni neno la Kiarabu (الله, Allāh , kutokana na al ilāh , kwa Kiingereza "the God") linalorejea Mungu pekee.[ 1] [ 2] , muumba wa mbingu , dunia na vyote vilivyomo.
Hasa linatumika katika dini ya Uislamu ,[ 3] lakini pia Wayahudi wanaoongea Kiarabu na Wakristo Waarabu na wa nchi nyingine (kama vile Malaysia [ 4] [ 5] [ 6] ) wanamwita Mungu "Allah" tangu kabla ya Mtume Muhammad [ 7] [ 8] [ 9] [ 10] .
Hata dini za Bahai na Kalasinga zinamuita Mungu hivyo.
↑ "God" . Islam: Empire of Faith . PBS. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-27. Iliwekwa mnamo 18 Desemba 2010 .{{cite web }}
: CS1 maint: date auto-translated (link )
↑ L. Gardet. "Allah". Encyclopaedia of Islam Online .
↑ Merriam-Webster. "Allah" . Merriam-Webster. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-20. Iliwekwa mnamo 25 Februari 2012 . {{cite web }}
: CS1 maint: date auto-translated (link )
↑ Sikhs target of 'Allah' attack , Julia Zappei, Jan. 14, 2010, The New Zealand Herald . Accessed on line Jan. 15, 2014.
↑ Malaysia court rules non-Muslims can't use 'Allah' , Oct. 14, 2013, The New Zealand Herald . Accessed on line Jan. 15, 2014.
↑ Malaysia's Islamic authorities seize Bibles as Allah row deepens , Niluksi Koswanage, Jan. 2, 2014, Reuters. Accessed on line Jan. 15, 2014. Archived 16 Januari 2014 at the Wayback Machine .
↑ "Islam and Christianity", Encyclopedia of Christianity (2001): Arabic-speaking Christians and Jews also refer to God as Allāh .
↑ Columbia Encyclopedia , Allah
↑
"Allah." Encyclopædia Britannica . 2007. Encyclopædia Britannica
↑ Encyclopedia of the Modern Middle East and North Africa, Allah