Jamhuri ya Botswana | |
---|---|
Lefatshe la Botswana (Kitswana) | |
Kaulimbiu ya taifa: Pula "Mvua" | |
Wimbo wa taifa: Fatshe leno la rona "Nchi hii yetu" | |
Mahali pa Botswana | |
Ramani ya Botswana |
Botswana (yaani: Utswana) ni nchi huru iliyoko Kusini mwa Afrika. Jina rasmi ni Jamhuri ya Botswana.