Eritrea

Dola la Eritrea
ሃገረ ኤርትራ (Kitigrinya)
Wimbo wa taifa:
ኤርትራ ኤርትራ ኤርትራ (Kitigrinya)
"Eritrea, Eritrea, Eritrea"
Mahali pa Eritrea
Mahali pa Eritrea
Ramani ya Eritrea
Ramani ya Eritrea
Mji mkuu
na mkubwa nchini
Asmara
15°20′ N 38°55′ E
SerikaliUdikteta
 • RaisIsaias Afwerki
Eneo
 • Eneo la jumlakm2 117 600[1]
Idadi ya watu
 • Kadirio la 20236 274 796[1]
Pato la taifaKadirio la 2019
 • JumlaOngezeko USD bilioni 1.98[2]
 • Kwa kila mtuOngezeko USD 566[2]
Pato halisi la taifaKadirio la 2019
 • JumlaOngezeko USD bilioni 6.42[2]
 • Kwa kila mtuOngezeko USD 1 835[2]
Maendeleo (2022)Punguko 0.493[3] - duni
SarafuNakfa
Majira ya saaUTC+3
(Afrika Mashariki)
Msimbo wa simu+291
Msimbo wa ISO 3166ER
Jina la kikoa.er


Eritrea ni nchi ya Afrika ya Mashariki. Mashariki na Kusini-Mashariki Eritrea ina pwani ndefu katika Bahari ya Shamu.

Upande wa Magharibi imepakana na Sudan, upande wa Kusini imepakana na Ethiopia, na Kusini-Mashariki kuna nchi ya Djibouti. Eneo hili lote hujulikana pia kama Pembe ya Afrika.

  1. 1.0 1.1 "Eritrea". The World Factbook (kwa Kiingereza) (tol. la 2024). Shirika la Ujasusi la Marekani. Iliwekwa mnamo 23 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 "World Economic Outlook Database, October 2023 Edition. (Eritrea)". IMF.org. International Monetary Fund. 10 Oktoba 2023. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Human Development Report 2023/2024" (kwa Kiingereza). United Nations Development Programme. 19 Machi 2024. Iliwekwa mnamo 19 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Developed by StudentB