Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia | |
---|---|
የኢትዮጵያ ፌዴራላዊ ዴሞክራሲያዊ ሪፐብሊክ (Kiamhara) | |
Wimbo wa taifa: ወደፊት ገስግሺ ፣ ውድ እናት ኢትዮጵያ "Mbele Tembea, Mama Mpendwa Ethiopia" | |
Mahali pa Ethiopia | |
Ramani ya Ethiopia | |
Mji mkuu na mkubwa nchini | Addis Ababa |
Lugha rasmi | Kiafar Kiamhara Kioromo Kisomali Kitigrinya |
Serikali | Jamhuri ya shirikisho |
• Rais • Waziri Mkuu | Sahle-Work Zewde Abiy Ahmed |
Eneo | |
• Eneo la jumla | km2 1 104 300 [1] |
Idadi ya watu | |
• Kadirio la 2023 | 116 462 712[1] |
Pato la taifa | Kadirio la 2024 |
• Jumla | USD bilioni 192.013[2] |
• Kwa kila mtu | USD 1 787.176[2] |
Pato halisi la taifa | Kadirio la 2024 |
• Jumla | USD bilioni 393.297[2] |
• Kwa kila mtu | USD 3 719[2] |
Maendeleo (2021) | 0.498[3] - duni |
Sarafu | Birr ya Ethiopia |
Majira ya saa | UTC+3 (Afrika Mashariki) |
Msimbo wa simu | +251 |
Msimbo wa ISO 3166 | ET |
Jina la kikoa | .et |
Ethiopia au Uhabeshi (Kiamhara: ኢትዮጵያ Ityopp'ya) ni nchi ya Afrika ya Mashariki iliyoko kwenye Pembe ya Afrika.
Nchi zinazopakana na Ethiopia ni Sudan na Sudan Kusini upande wa magharibi, Eritrea na Jibuti kaskazini, Somalia mashariki na Kenya upande wa kusini.
Ni nchi ambayo ina historia ya pekee Afrika na hata duniani kwa ujumla.
Ethiopia ni moja ya nchi mbili za Afrika ambazo hazikutawaliwa na wakoloni wakati walipong’ang’ania Afrika. Nchi nyingine ni Liberia. Kabla ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia Ethiopia ilivamiwa na Waitalia (1936) lakini ilipata uhuru wake tena baada ya miaka michache.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)