| |||||
Kaulimbiu ya taifa: none | |||||
Wimbo wa taifa: Ishy Bilady | |||||
Mji mkuu | Abu Dhabi | ||||
Mji mkubwa nchini | Dubai | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali | Shirikisho, Ufalme Khalifa bin Zayed Al Nahayan M. bin Rashid Al Maktoum | ||||
Kuundwa kwa shirikisho |
2 Desemba 1971 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
83,600 km² (ya 116) -- | ||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 2005 sensa - Msongamano wa watu |
4,496,000 (ya 116) 4,104,695 [1] 54/km² (ya 143) | ||||
Fedha | Dirham (AED )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC+4) +4 (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .ae | ||||
Kodi ya simu | +971
- |
Falme za Kiarabu (kwa Kiarabu: الإمارات العربيّة المتّحدة; kwa Kiingereza United Arab Emirates) ni shirikisho la emirati au falme ndogo 7 katika kaskazini-mashariki ya Rasi ya Uarabuni kwenye mwambao wa ghuba ya Uajemi.
Shirikisho limepakana na Saudia na Omani kwenye nchi kavu; baharini kuna mipaka pia na Katar na Iran.