| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kiarabu: الله أكبر (Allahu Akbar) (Translation: "Mungu ni mkuu") | |||||
Wimbo wa taifa: Mawtini (new); Ardh Alforatain (previous)[1] | |||||
Mji mkuu | Baghdad[2] | ||||
Mji mkubwa nchini | Baghdad | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu, Kikurdi[3] | ||||
Serikali | Jamhuri, serikali ya kibunge Barham Salih Mustafa Al-Kadhimi | ||||
Uhuru kutoka Dola la Uturuki kutoka Uingereza |
31 Oktoba 1919 3 Oktoba 1932 28 Juni 2004 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
437,072 km² (ya 59) 1.1 | ||||
Idadi ya watu - 2015 kadirio - Msongamano wa watu |
37,056,169 (ya 36) 82.7/km² (ya 125) | ||||
Fedha | Iraqi Dinar (IQD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3) (UTC+4) | ||||
Intaneti TLD | .iq | ||||
Kodi ya simu | +964
- | ||||
1 Wakurdi hutumiaEy Reqîb. 2 Arbil ni mju mkuu wa jimbo la kujitawala la Kurdistan. 3 Lugha rasmi za serikali kitaifa ni Kiarabu na Kikurdi. Kikurdi ni lugha rasmi ya jimbo la Kurdistan. Kikatiba lugha za Kiassiryani na Kiturkmeni ni lugha rasmi kieneo penye wasemaji wengi wa lugha hizi. |
Iraq (kwa Kiarabu العراق, al-ʿIrāq) ni nchi ya Asia ya Magharibi inayokaliwa hasa na Waarabu (75-80%) lakini pia na wengine, hasa Wakurdi 15%).
Inajumlisha eneo la Mesopotamia pamoja na sehemu ya jangwa la Shamu na ya milima ya Zagros.
Imepakana na Kuwait, Saudia, Yordani, Syria, Uturuki na Uajemi. Kuna pwani fupi kwenye Ghuba ya Uajemi.