Kanuni ya Imani ya Nisea-Konstantinopoli (pia Imani ya Nikea) ni fomula rasmi ambayo ilipitishwa na Mtaguso wa kwanza wa Nisea (325)[1] ikakamilishwa na Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli (381) ili kubainisha imani sahihi ya Kanisa Katoliki dhidi ya uzushi, hasa wa Ario na wafuasi wake.
Katima mazingira hayo, lengo kuu lilikuwa kwanza kumkiri Yesu kama Mungu kweli sawa na Baba, halafu kwamba Roho Mtakatifu anastahili kuabudiwa pamoja na Baba na Mwana (Utatu Mtakatifu).
Hadi leo hiyo kanuni ya imani inatumika sana katika madhehebu mengi ya Ukristo, hata kama sehemu ya liturujia.[2][3][4][5][6][7][8][9]
- ↑ Readings in the History of Christian Theology by William Carl Placher 1988 ISBN 0-664-24057-7 pages 52–53
- ↑ http://www.newadvent.org/cathen/04479a.htm
- ↑ Congregation for the Doctrine of the Faith, "Profession of Faith"
- ↑ Code of Canon Law, canon 833
- ↑ [1] "Archbishop Averky Liturgics – The Small Compline", Retrieved 2013-04-14
- ↑ [2] "Archbishop Averky Liturgics – The Symbol of Faith", Retrieved 2013-04-14
- ↑ "Religion Facts, four of the five Protestant denominations studied agree with the Nicene Creed and the fifth may as well, they just don't do creeds in general". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-03-19. Iliwekwa mnamo Oktoba 29, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
- ↑ "Christianity Today reports on a study that shows most evangelicals believe the basic Nicene formulation". Iliwekwa mnamo Oktoba 29, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
- ↑ "Encyclopedia Britannica". Iliwekwa mnamo Juni 16, 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)