Katiba ya Kenya

Katiba ya Kenya ndiyo sheria kuu kabisa ya Jamhuri ya Kenya. Katiba ya mwaka 2010 ilichukua nafasi ya katiba ya wakati wa uhuru ya mwaka 1963.

Katiba hiyo alipatiwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya tarehe 7 Aprili 2010, ikachapishwa rasmi tarehe 6 Mei 2010 na kuwekewa kura ya maoni tarehe 4 Agosti 2010[1].

Ilipitishwa kwa kura 67%[2] na kutangazwa tarehe 27 Agosti 2010[3].

  1. "Kenya referendum date set", Daily Nation, 14 Mei 2010
  2. "New Kenyan Constitution Ratified" Archived 27 Agosti 2010 at the Wayback Machine.. Voice of America. 6 Agosti 2010. Ilipatikana 6 Agosti 2010.
  3. "Institutional Reform in the New Constitution of Kenya", International Center for Transitional Justice (ICTJ)

Developed by StudentB