Kideni ni moja kati ya lugha za Kijerumaniki, kinazungumzwa nchini Udeni, Visiwa vya Faroe, na sehemu kadhaa za Grinlandi na Ujerumani (Kusini mwa Schleswig). Idadi ya wasemaji wa lugha hii inakadiriwa kuwa ni milioni 5.5. Nchini Grinlandi na Kisiwani Faroe, lugha hii inatumika kama ya pili kitaifa. Kwa watu wa Udeni, au Wadeni, lugha hii inajulikana kama dansk.
Hapa kuna mifano miwili ya Kideni:
Kiswahili | Kideni |
---|---|
Salam | Hej |
Kwaheri | Farvel |
Ahsante | Tak |
Unatoka Wapi ? | Hvor kommer du fra? |
Pamoja | Med |
Mimi | Jeg |
Ndiyo | Ja |
Hapana | Nej |
am/are/is | Er |
Kiingereza | Engelsk |
Kama | Hvis |
Ninakupenda | Jeg elsker dig |
Chumba | Værelse |
Copenhagen | København |
Ankara | Regning |
Msosi | Mad |
Sawa | Okay |
Mwamvuli | Paraply |
Wapi | Hvor |
Nani | Hvem |
Ipi | Hvilken/hvilket |
Bei | Prisen |
Iko wapi | Hvor er |
Uwa. Ndege | Lufthavn |
Barabara | Vej |
Jogoo | Hane |
Kuku Jike | Kylling |
Samaki | Fisk |
Asiyekula nyama | Vegetar |
Fananisha | Sammenligne |
Treni | Tog |