Umoja wa Komori | |
---|---|
Udzima wa Komori (Kikomori) Union des Comores (Kifaransa) جمهورية القمر المتحدة (Kiarabu) | |
Kaulimbiu ya taifa: Unité – Solidarité – Développement (Kifaransa) وحدة، تضامن، تنمية (Kiarabu) "Umoja – Mshikamano – Maendeleo" | |
Wimbo wa taifa: Udzima wa ya Masiwa (Kikomori) "Umoja wa Masiwa" | |
Mahali pa Komori | |
Ramani ya Komori | |
Mji mkuu na mkubwa nchini | Moroni |
Lugha rasmi | |
Serikali | Jamhuri ya shirikisho |
• Rais | Azali Assoumani |
Uhuru kutoka Ufaransa | 6 Julai 1975 |
Eneo | |
• Eneo la jumla | km2 2 235[1] |
Idadi ya watu | |
• Kadirio la 2023 | 888 378[1] |
Pato la taifa | Kadirio la 2023 |
• Jumla | USD bilioni 1.364[2] |
• Kwa kila mtu | USD 1 377[2] |
Pato halisi la taifa | Kadirio la 2023 |
• Jumla | USD bilioni 3.432[2] |
• Kwa kila mtu | USD 3 463[2] |
Maendeleo (2021) | 0.558[3] - wastani |
Sarafu | Faranga ya Komori |
Majira ya saa | UTC+3 (Afrika Mashariki) |
Upande wa magari | Kulia |
Msimbo wa simu | +269 |
Msimbo wa ISO 3166 | KM |
Jina la kikoa | .km |
Komori au Visiwa vya Ngazija (Kifaransa: Comores) ni nchi huru kwenye funguvisiwa katika Bahari Hindi upande wa Mashariki wa Afrika. Iko katika Mlangobahari wa Msumbiji kaskazini kwa Madagaska na mashariki kwa Msumbiji.
Jina limetokana na lugha ya Kiarabu ambapo Juzur al-Qamar (جزر القمر) linamaanisha "visiwa vya mwezi".
Katika Afrika iko kati ya nchi tatu ndogo kabisa.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)