| |||||
Kaulimbiu ya taifa: 널리 인간을 이롭게 하라 "Lete faida kwa watu wote" | |||||
Wimbo wa taifa: Aegukga (Wimbo la Taifa) | |||||
Mji mkuu | Seoul | ||||
Mji mkubwa nchini | Seoul | ||||
Lugha rasmi | Kikorea | ||||
Serikali | Jamhuri Moon Jae-in (문재인 , 文在寅) Kim Boo-kyum (김부겸 , 金富謙) | ||||
Kuundwa kwa Ufalme wa Gojoseon Tangazo la uhuru bado chini ya Japani Ukombozi kutoka utawala wa Japani Jamhuri ya kwanza ilitambuliwa na Umoja wa Mataifa |
3 Oktoba 2333 KKa 1 Machi 1919 15 Agosti 1945 15 Agosti1948 12 Desemba 1948 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
100,210 km² (ya 108) 0.3 | ||||
Idadi ya watu - Julay 2014 kadirio - Msongamano wa watu |
50,617,045 (ya 26) 505.1/km² (ya 13) | ||||
Fedha | Won ya Korea Kusini (KRW )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
Wakati sanifu wa Korea (UTC+9) -- (UTC+9) | ||||
Intaneti TLD | .kr | ||||
Kodi ya simu | +82
- |
Korea ya Kusini (jina rasmi: Jamhuri ya Korea) ni nchi ya Asia ya Mashariki iliyopo kusini mwa rasi ya Korea.
Upande wa kaskazini imepakana na Korea ya Kaskazini. Korea zote mbili zilikuwa nchi moja hadi mwaka 1945 chini ya utawala wa kikoloni wa Japani.
Ng'ambo ya bahari iko Uchina upande wa magharibi na Japani upande wa kusini-mashariki.
Mji mkuu, pia mji mkubwa, ni Seoul ambako karibu nusu ya wakazi wote huishi ama mjini ama katika mazingira yake. Seoul ni kati ya miji muhimu ya biashara na uchumi kimataifa.