| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Khotso, Pula, Nala (kwa Kisotho: Amani, Mvua, Ustawi) | |||||
Wimbo wa taifa: Lesotho Fatse La Bontata Rona: Lesotho, nchi ya babu zangu | |||||
Mji mkuu | Maseru | ||||
Mji mkubwa nchini | Maseru | ||||
Lugha rasmi | Kisotho, Kiingereza | ||||
Serikali | Letsie III Moeketsi Majoro | ||||
Independence kutoka Wiingereza |
4 Oktoba 1966 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
30,355 km² (140th) Negligible | ||||
Idadi ya watu - Julai 2009 kadirio - 2004 sensa - Msongamano wa watu |
2,067,000 1 (144) 2,031,348 68.1/km² (138) | ||||
Fedha | Maloti (LSL )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+2) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .ls | ||||
Kodi ya simu | +266
- |
Ufalme wa Lesotho, au Lesotho, ni nchi ndogo inayozungukwa na Afrika Kusini pande zote. Haina pwani kwenye bahari yoyote.
Jina Lesotho lamaanisha eneo la Basotho (wakazi 99.7%), watu ambao wanaongea lugha ya Kisotho, ambayo ni lugha rasmi pamoja na Kiingereza. Wakati wa ukoloni ilijulikana kama Basutoland.
Sasa ni nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa.
Ina wakazi milioni 2 hivi.