Louisiana | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Baton Rouge | ||
Eneo | |||
- Jumla | 134,264 km² | ||
- Kavu | 112,825 km² | ||
- Maji | 21,440 km² | ||
Tovuti: http://www.louisiana.gov/ |
Louisiana (Kiingereza: State of Louisiana, Kifaransa: État de Louisiane) ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Baton Rouge (Kifaransa: banzi nyekundu) na mji mukubwa jimboni New Orleans (Orleans Mpya). Upande wa kusini ni maji ya ghuba ya Meksiko. Imepakana na Arkansas, Mississippi na Texas. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 4,410,796 (2008) wanaokalia eneo la 135,382 km² ambalo ni hasa milima na jangwa.