| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kiluxemburg: Mir wëlle bleiwe wat mir sinn (Kiingereza: "Tunataka kukaa jinsi tulivyo") | |||||
Wimbo wa taifa: Ons Hémécht ("Nchi yetu") WImbo wa kifalme: De Wilhelmus 1 | |||||
Mji mkuu | Luxemburg | ||||
Mji mkubwa nchini | Luxemburg | ||||
Lugha rasmi | Kifaransa, Kijerumani, Kiluxemburg | ||||
Serikali Mtemi mkubwa
Waziri Mkuu |
Utemi Mkubwa Mtemi Mkubwa Henri Luc Frieden | ||||
Uhuru Ilitangazwa Ilithebitishwa |
1815 1839 1867 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,586 km² (ya 167) -- | ||||
Idadi ya watu - 2019 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
613 894 (ya 164) 439,539 233.7/km² (ya 58) | ||||
Fedha | Euro (€)2 (EUR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .lu3 | ||||
Kodi ya simu | +352
- |
Luxemburg (pia: Lasembagi) ni nchi ndogo katika Ulaya. Imepakana na Ubelgiji, Ufaransa na Ujerumani.
Ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya, tena ilikuwa kati ya nchi sita zilizoanzisha Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya mwaka 1957.