Mafuta ni jina la kiowevu kizito chochote kisichochanganyikana na maji lakini ni mumunyifu katika vimumunyisho vya kikaboni[1].
Mafuta yote huwa na asili katika mata ogania, kama vile ya wanyama na mimea.
- ↑ Emulsifier inaruhusu mafuta na maji kuchanganyika