Mazishi ya Papa Yohane Paulo II (Kanisa Katoliki ).
Kuchoma maiti huko Manikarnika Ghat (Uhindu )
Kufungua mdomo (Misri ya Kale ).
Kotsuage (Japan ).
Mazishi ya mkulima huko Connemara , Ireland , 1870
Mazishi ni taratibu za kuheshimu na kuzika maiti ya mtu au mabaki yake.
Taratibu hizo zinategemea dini na mila za wahusika, hivyo zinatofautiana sana[ 1] .
Mara nyingi mazishi yanaendana na sala kwa ajili ya marehemu .
Kama sivyo kuna kumkumbuka na kukumlilia pamoja na kufariji wafiwa.
Mazishi ni ya zamani sana, inawezekana yalikuwepo kabla ya Homo sapiens kutokea, miaka 300,000 iliyopita.[ 2] [ 2] [ 3]
↑ Kwa taratibu za Kanisa Katoliki kwa Kiswahili, taz. Misale ya Waamini, toleo la mwaka 2021, uk. 1562-1600
↑ 2.0 2.1 "When Burial Begins", British Archaeology , issue 66, August 2002, found at British Archaeology website Archived 2 Juni 2007 at the Wayback Machine .. Accessed September 4, 2008.
↑ Sommer, J. D. (1999). "The Shanidar IV 'Flower Burial': a Re-evaluation of Neanderthal Burial Ritual". Cambridge Archaeological Journal . 9 (1): 127–129. doi :10.1017/S0959774300015249 . ISSN 0959-7743 .