Mizizi (kwa Kiingereza: "roots") ni sehemu ya mmea iliyoko chini ya ardhi ambayo husaidia mmea kukua.
Mizizi mingi inaweza ikawa dawa.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mizizi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |