| |||||
Kaulimbiu ya taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Oj, svijetla majska zoro "Ewe pambazuko la Mei" | |||||
Mji mkuu | Podgorica | ||||
Mji mkubwa nchini | Podgorica | ||||
Lugha rasmi | Kimontenegro, lahaja ya Kiserbokroatia; lugha nyingine 4 ni rasmi kieneo | ||||
Serikali | Jamhuri Milo Đukanović Zdravko Krivokapić | ||||
Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa |
3 Juni 2006 8 Juni 2006 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
13,812 km² (ya 159) 1.5 | ||||
Idadi ya watu - 2004 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
630,548 (ya 164) 778,987 45/km² (ya 121) | ||||
Fedha | Euro2 (EUR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .me | ||||
Kodi ya simu | ++382
| ||||
1 kikatiba. 2 Montenegro si nchi mwanachama wa mkataba wa Euro. |
Montenegro (yaani Mlima mweusi kwa lugha ya Kiitalia; kwa Kimontenegro: Црна Гора au Crna Gora) ni nchi ndogo ya Ulaya kwenye rasi ya Balkani.
Ina pwani ya Mediteranea na inapakana na Albania, Kosovo, Kroatia, Serbia, Bosnia na Herzegovina na Masedonia.
Nchi ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa na inatarajia kujiunga na Umoja wa Ulaya.