Mvumbuzi (kutoka kitenzi kuvumbua; kwa Kiingereza: inventor) ni mtu aliyefaulu kugundua, kubuni na kutengeneza jambo katika jamii kwa mara ya kwanza.
Si lazima awe msomi[1], tena siku hizi mengine yanavumbuliwa na akili mnemba[2].
- ↑ *Inventor. Encyclopædia Britannica. Retrieved 1 October 2017.
- ↑ Hornby, Gregory S.; Al Globus; Derek S. Linden; Jason D. Lohn (Septemba 2006). "Automated antenna design with evolutionary algorithms" (PDF). Space. American Institute of Aeronautics and Astronautics. Iliwekwa mnamo 2012-02-19.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)