Mzungu ni neno la Kiswahili kumtaja mtu anayeonekana ametoka Ulaya. Mara nyingi, mtu ambaye amechukua utamaduni wa Kiulaya huitwa "Mzungu" hata asipokuwa na nasaba ya Kiulaya. Kwa hivyo, "Mzungu" ina fasili mbalimabli.
Developed by StudentB