Namba tegemezi

Jedwali la namba tegemezi.
Jedwali la namba tegemezi.
Jedwali kama la "mashine" ambayo kwa kila input inatoa output maalumu.
Mchoro wa uhusiano unaoonyesha matokeo ya kila input.
Uhusiano kati ya kila umbo la rangi na rangi yenyewe.

Katika hisabati, namba tegemezi ni uhusiano wa namba mbalimbali ambapo moja au zaidi katika uhusiano huo zinazaa namba fulani ya pekee.

Katika sayansi badala ya namba kitu chochote kinaweza kushika nafasi ya namba inayoingizwa katika uhusiano huo na kuleta matokeo yanayotarajiwa.

Hivyo namba tegemezi ni kama mashine, ambayo inapokea thamani ya x na kuzaa y.


Developed by StudentB