New Mexico

ramani ya new mexico








New Mexico

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Albuquerque
Eneo
 - Jumla 314,915 km²
 - Kavu 314,309 km² 
 - Maji 606 km² 
Tovuti:  http://www.newmexico.gov/

New Mexiko (Meksiko Mpya) ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kusini ya Marekani bara. Imepakana na Texas, Oklahoma, Colorado, Arizona na nchi ya Meksiko.

Mji mkuu wa jimbo ni Santa Fe. Mji mkubwa ni Albuquerque. Idadi ya wakazi wa jombo lote hufikia watu 1,819,046 wanaokalia eneo la 315,194 km² ambalo ni hasa milima na jangwa.


Developed by StudentB