Kwa samaki anayeitwa kwa Kiswahili "papa" tazama papa (samaki)
Papa (neno la mkopo kutoka Kilatini lakini lenye asili ya Kigiriki, πάππας, pappas,[1] jina ambalo mtoto anamuitia baba yake)[2]ni cheo cha kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kote. Cheo hicho kinategemea kile cha askofu wa Roma.[3]
- ↑ "American Heritage Dictionary of the English Language". Education.yahoo.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-06. Iliwekwa mnamo 2010-08-11.
- ↑ "Liddell and Scott". Oxford University Press. Iliwekwa mnamo 2013-02-18.
- ↑ "Christ's Faithful - Hierarchy, Laity, Consecrated Life: The episcopal college and its head, the Pope". Catechism of the Catholic Church. Vatican City: Libreria Editrice Vaticana. 1993. Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)