| |||||
Kaulimbiu ya taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: As Salam al Amiri | |||||
Mji mkuu | Doha | ||||
Mji mkubwa nchini | Doha | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu, Kiingereza | ||||
Serikali | Ufalme Tamim bin Hamad Al Thani (تميم بن حمد بن خليفة آل ثاني) Khalid bin Khalifa bin Abdul Aziz Al Thani (خالد بن خليفة بن عبد العزيز آل الثاني) | ||||
Uhuru1 |
3 Septemba 1971 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
11,581 km² (ya 158) „kidogo sana“ | ||||
Idadi ya watu - Agosti 2020 kadirio - 2010 sensa - Msongamano wa watu |
2,795,484 (ya 142) 1,699,435 [1] 176/km² (ya 76) | ||||
Fedha | Riyal (QAR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3) (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .qa | ||||
Kodi ya simu | +974
| ||||
1 Qatar ilitawaliwa na familia ya Al Thani tangu karne ya 19 lakini ilikuwa chini ya Uingereza katika karne ya 20 |
Qatar (kwa Kiarabu: قطر ) ni emirati ndogo wa Uarabuni kwenye rasi ya Qatar ambayo ni sehemu ya rasi kubwa ya Uarabuni.
Imepakana na Saudia upande wa kusini. Mipaka mingine ni ya Ghuba ya Uajemi. Kisiwa cha Bahrain kiko karibu.