Tisini na tisa

Tisini na tisa (au tisa na tisini) ni namba inayoandikwa 99 kwa tarakimu za kawaida na XCIX au IC kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 98 na kutangulia 100.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 3 x 11.


Developed by StudentB