| |||||
Wito (Kifaransa): Dieu et mon droit ("Mungu na haki yangu") | |||||
Mahali pa Uingereza (kijani cheusi) kwenye visiwa vya Britania ndani ya Ufalme wa Muungano (kijani nyeupe) pamoja na Jamhuri ya Eire (buluu) upande wa magharibi | |||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Mji Mkuu | London | ||||
Mji Mkubwa | London | ||||
Mfalme | Charles III wa Uingereza | ||||
Waziri Mkuu | Rishi Sunak | ||||
Eneo – jumla |
130,395 km² | ||||
Wakazi –2004 |
50.1 millioni [1] 49,138,831 [2] | ||||
Umoja wa nchi yote | 927 BK na mfalme Athelstan | ||||
Dini rasmi | Church of England (Anglikana) | ||||
Pesa | Pound sterling (£) (GBP) | ||||
Masaa | UTC / (GMT) Summer: UTC +1 (BST) | ||||
Ua la Taifa | Waridi ya Tudor (nyekundu, nyeupe) | ||||
Mtakatifu wa kitaifa | Mt George |
Uingereza (pia: Ingilandi kutoka Kiingereza: England) ni nchi kubwa ndani ya Ufalme wa Muungano yenye wakazi milioni 50 (83% ya wakazi wote wa Ufalme) na eneo lake ni takriban km² 130,000 (theluthi mbili za kisiwa cha Britania).