Idadi ya wafuasi katika Tanzania haijulikani kikamilifu na makadirio yako kati ya theluthi moja[1] na nusu[2] ya Watanzania wote kwa sehemu ya Tanganyika na 97 - 99% ya jumla ya wakazi wa Zanzibar.[3] Takwimu zote zinazohusu dini katika Tanzania zinatia shaka. [4]
↑"Vikundi vingi vya kidini vinasita kukadiria demografia ya kidini, lakini viongozi wa dini walio wengi wanakadiria wananchi kuwa 50% Wakristo na 50% Waislamu. Utafiti wa Pew Forum wa 2010 umekadiria Wakristo kuwa takriban 61%, Waislamu 36 % na wafuasi wa dini nyingine kuwa 3%" - ripoti ya Pew Forum kwa mwaka 2012:[1] (Kiingereza)
↑ "Swali la asilimia la Waislamu na Wakristo ni jambo la kisiasa nchini Tanzania kama katika nchi nyingine kadhaa za Afrika. Takwimu zinazotolewa na shirika za Kikristo na Kiislamu zinaonyesha upendeleo haziwezi kutegemewa."Abdulaziz Y. Lodhi and David Westerlund. "African Islam in Tanzania". Iliwekwa mnamo 25 Mei 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) (Kiingereza)