| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Einigkeit und Recht und Freiheit (Kijerumani: "Umoja na Haki na Uhuru”) | |||||
Wimbo wa taifa: Wimbo wa Wajerumani (beti ya tatu) Umoja na Haki na Uhuru | |||||
Mji mkuu | Berlin | ||||
Mji mkubwa nchini | Berlin | ||||
Lugha rasmi | Kijerumani 1 | ||||
Serikali | Shirikisho la Jamhuri Frank-Walter Steinmeier Olaf Scholz | ||||
Dola Takatifu la Kiroma Dola la Ujerumani Shirikisho la Jamhuri Maungano |
843 (Mkataba wa Verdun) 18 Januari 1871 23 Mei 1949 3 Oktoba 1990 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
357,050 km² (ya 63) 2.416 | ||||
Idadi ya watu - 2022 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
84,270,625 (ya 19) 80,219,695 232/km² (ya 58) | ||||
Fedha | Euro (€) 2 (EUR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .de | ||||
Kodi ya simu | +49
| ||||
1 Kideni, Kijerumani cha Kaskazini, Kisorbia, Kifrisia ni lugha rasmi katika mikoa kadhaa 2 hadi 1999: Mark (DM) |
Ujerumani (pia: Udachi, kwa Kijerumani: Deutschland) ni nchi ya Ulaya ya Kati.
Imepakana na Denmark, Poland, Ucheki, Austria, Uswisi, Ufaransa, Luxemburg, Ubelgiji na Uholanzi.
Ndiyo nchi yenye watu wengi zaidi katika Ulaya, isipokuwa Urusi.
Uchumi wa Ujerumani una uwezo mkubwa: ni nchi inayouza bidhaa nyingi nje kushinda mataifa yote duniani.
Muundo wake kiutawala ni shirikisho la jamhuri lenye majimbo 16 ndani yake na kila jimbo lina kiwango cha kujitawala.