Upole

Sanamu inayodokeza upole huko Milano, kanisa la San Carlo al Corso.

Upole (kwa Kiingereza: meekness[1]) ni tawi la adili la kiasi ambalo linasisitwa na dini mbalimbali kama Ubuddha[2] na Ukristo[3][4]. Upole unatakiwa kuendana na subira lakini unatofautiana nayo kwa kuwa tokeo lake maalumu ni kuzuia vurugu za hasira, si kuvumilia tabu.

  1. The Free Dictionary, Meekness
  2. J. B. Carman, Majesty and Meekness (1994) p. 124
  3. C. S. Titus, Resilience and the Virtue of Fortitude (2006) p. 320
  4. The Free Dictionary, Usages of meekness

Developed by StudentB