Utengenezaji

Mzunguko wa utengenezaji.
Finished regenerative thermal oxidizer at manufacturing plant
Assembly of Section 41 of a Boeing 787 Dreamliner
An industrial worker amidst heavy steel semi-products (KINEX BEARINGS, Bytča, Slovakia, c. 1995–2000)
A modern automobile assembly line

Utengenezaji ni uundaji wa vitu kwa kutumia kazi ya binadamu, mashine, vifaa n.k.

Unahesabika kama sekta ya pili ya uchumi.[1]

Inaweza kuitwa hivyo kazi ya fundi binafsi lakini hasa ile ya viwanda vikubwa vinavyotumia teknolojia ya kielektroni.

  1. Kenton, Will. "Manufacturing". Investopedia (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-01-16.

Developed by StudentB