| |||||
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}} | |||||
Wimbo wa taifa: Phleng Chat Wimbo la kifalme: Phleng Sansoen Phra Barami | |||||
Mji mkuu | Bangkok (Krung Thep) | ||||
Mji mkubwa nchini | Bangkok | ||||
Lugha rasmi | Kithai | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Maha Vajiralongkorn Paetongtarn Shinawatra | ||||
Formation Sukhothai Mfalmedom Ufalme wa Ayutthaya Ufalme wa Thonburi Ufalme wa Chakri |
1238–1368 1350–1767 1767 hadi 7 Aprili 1782 7 Aprili 1782 hadi leo | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
513,120 km² (ya 51) 0.4 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2014 kadirio - 2010 sensa - Msongamano wa watu |
67,091,1201 (ya 20) 64,785,909 132.1/km² (ya 882) | ||||
Fedha | Baht (฿) (THB )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+7) (UTC+7) | ||||
Intaneti TLD | .th | ||||
Kodi ya simu | +66
- |
Uthai (pia: Siam, Thailand, Tailandi, Thailandi, Tailendi) ni ufalme katika Asia ya Kusini-Mashariki.
Imepakana na Laos, Kambodia, Malaysia na Myanmar.
Ina pwani kwenye Ghuba ya Uthai ya Bahari ya Kusini ya China upande wa kusini na Bahari Hindi upande wa magharibi.
Nchi ina wakazi zaidi ya milioni 67, hivyo inashika nafasi ya 20 duniani.
Mji mkuu na mji mkubwa ni Bangkok (ukiwa na wakazi milioni 8).