Utu ni ile hali ya binadamu kutenda kadiri ya hadhi yake kati ya wanyama na viumbe vingine, inayomfanya astahili kupata haki zote za kijamii kama elimu, afya, ajira nk.
Hivyo ni jumla ya tabia njema anazopasa kuzionyesha mtu kwa jamii (hulka ya matendo mema).
Kwa maana nyingine, utu ni ile hali ya kutenda jambo kwa mwingine bila ya kutegemea malipo yoyote kutoka kwake.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Utu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |