Wikipedia:Mradi wa Vigezo

kigezo

Kigezo (template) ni ukurasa wa Wikipedia unaoanzishwa ili kuingizwa katika kurasa za makala. Mara nyingi huwa na maudhui yanayorudiarudia katika kurasa mbalimbali. Mfano ni masanduku ya kueleza hali ya ukurasa (kama vile makala fupi, onyo la kuonyesha hitilafu fulani kama vile ukosefu wa vyanzo au kasoro za lugha, onyo kwamba makala inaweza kufutwa).

Vigezo vingine vinaweza kuwa tata vikiandaliwa kupokea habari za ziada, kama vile masanduku ya habari (info-boxes).


Developed by StudentB