Wilaya ya Buhigwe

Buhigwe ni wilaya mojawapo kati ya nane za mkoa wa Kigoma yenye postikodi namba 47500, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.

Kufuatana na sensa ya 2012 idadi a wakazi ilikuwa watu 254,342. Katika sensa ya mwaka 2022 idadi ilikuwa 240,005 [1].

Makao makuu ya wilaya yako Buhigwe.

  1. https://www.nbs.go.tz

Developed by StudentB